Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Yethuuuuuu
malizia kabisaa ....na-mariaa
Na jiwelinaloishiii...
karibu juu ya stuli ndefu.....kila kitu kimepoa.....
POLITE REMINDER EEEEH.........
Siku mingi sikuoniPOLITE REMINDER EEEEH.........
Bado tunaruhusiwa?Kwamba unasubiri ni R.I.P uanze kutaka kunifahamu.......kwa nini usitake tufahamiane saa hizi.....we kama unataka kumfahamu Preta mPM.....mfanye miadi mkutane......sio nikiGO....muanze kuweka picha zangu humu na kuanza kusema....oooh maskini Preta....mara...mbona kinene kama tufe.....sitaki nasema....na sitaki mazoea......ngoja mtu aweke picha yangu ndio atanifehemu......
Nadhani nimeeleweka........
Natokea pande za Yaeda Chini, Wapi nikukute.nipo sana.........
itakuwa baada ya kutoka imboru, nina issue hukoNjoo hapa Tumatu madukani.......ulizia duka la kwa Qumnas......utanikuta hapo.......
Sio ppa. Nilijua nafasi ipo nichukue toyo fastahe he......jaribu kupost picha yangu siku hiyo......nikutokee kama kimswilia nikunyonye damu.........