GRADUANDS, Yatera (left), Rosena Mngazija and Tunu Hajj congratulate one another during the 46th graduation ceremony at the Institute of Adult Education in Dar es Salaam on Friday. (Photo by Fadhili Akida).
Siku hizi majoho hayana thamani tena, kwani huvaa majoho hata wa darasa la nane mradi Kikwete kamteua kuwa mwenyekiti wa baraza la chuo; huvalishwa majoho na kofia wanazostahili kuvaa wasomi wenye shahada za uzamifu, hayo tumeyashuhudia wakati wa mahafali ya chuo cha Hombolo!! Mtoto wa mkulima, oneni aibu chagueni wenyeviti wanaoendana na fani za usomi na sio ujomba ebo!!