Daraja la Kamba kama yale tuyaonayo kwenye movie za kimarekani za vita Kule Vietnam Kuvuka unashika kamba pande zote na kwa umakini mkubwa....Litakuwa la aina gani kati ya aina za madaraja zote duniani?
Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.
Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.
Akhasanteni.

Well said Dr.EPC = Engineering Procument and Construction contract entails the design, buying and installing of all items in a project by one Contractor. It is a faster way of delivering a project and can be far more cost effective than conventional contracts. The Client (NSSF) should know exactly what he wants on day one; variations will be expensive. The Contractor should be reputable and it is good to have a Client's representative at site at all times to monitor construction.
Je litakuwa na provisions au nafasi ya ziada kwa mfano huko mbeleni mamlaka husika wakitaka kuongeza njia ya reli au tram links n.k au linajengwa kukidhi watembeao kwa miguu na wanao tumia magari peke yake,natanguliza shukrani zangu