hahaaa.. Hiyo kweli kalikwa nini hamjaweka sehemu ya wapita kwa miguu?au mnaogopa watu wataiba scrapers
Hizo ajira vipi? Tupeleke wapi 'cv' zetu? Au ndio zinagaiwa kiukoo kichinachina?Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.
Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.
Akhasanteni.
Baada ya daraja kinachofuata nini watu kutathminiwa nyumba zao wapewe chao wasepe au? hichi kidaraja ni kwa ajili ya kile kimradi cha new city?Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa kadri ya uwezo wangu. Pale ambapo nitakuwa sina data za papo kwa hapo basi nitaomba muda ili nizilete.
Natumai tutakuwa na mjadala wenye mtiriko mzuri na wa heshma.
Akhasanteni.
Hili daraja litakua linapitika kwa kulipia au la bure?
Nanyi kama NSSF mnategemea kufaidika vipi?