NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Kweli dunia haipo fair

Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna

Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
 
Kwani makubalinao ya Nenga na NSSF ni yapi mpaka wakamdhamini?
 
Kweli dunia haipo fair

Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna

Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
Ukiacha fao la kujitoa, waastafu hulipwa 33% Kwa mkupuo tena Kwa tabu sana The rest (67%) ndiyo akina Nandi wanatumbua. Kwanini tuwe Serikali kama hii?!
 
wastaafu wanasumbuliwa kweli alafu wenyewe wanatumbua pesa huko
 
Back
Top Bottom