NSSF haina msaada kwa waajiriwa wa sekta binafsi

NSSF haina msaada kwa waajiriwa wa sekta binafsi

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Najiuliza lengo la serikali kufuta mifuko mingine na kubakisha miwili tu yaan kwa ajili ya wafanyakazi secta binafsi na serikali sioni sababu
Ndugu Wana jamvi mfuko huu wa NSSF una mapungufu yafuatayo

1. Ni taasisi ambayo haifuatilii michango ya wanachama yaani mwajiri apeleke asipeleke kwao hawana shida

2. Ni taasisi ambayo haina record za wafanyakazi wao mtu hajapewa kadi mwaka wa tatu ila akienda anaambiwa alishapewa au asubiri

3. Ni taasisi ambayo inapokea rushwa kutoka kwa waajiri mfano, mbunge wa Jimbo la Tarime huyu anamiliki shule huko Arusha na baadhi ya mikoa ila watumishi wanakatwa michango kwa nguvu na haipelekwi

4. Nigezo vya fao la kujitoa linajulikana ila ikitokea mkataba umeisha au umesitishiwa na muajiri wao watakusumbua hadi usipate kilicho chako

Serikali hivi mtu anayefanya kazi za mtu mwingine(private sector) ni Nani aliwambia atafanya kazi hadi astaafu?
 
Mkuu ungetaja jina la shule hata ofisi ya nssf mkoa husika.

Nimependa hii "Ni nani aliyewaambia kuwa mfanyakazi atafanya kazi hadi atimize umri wa kustaafu"?
Asante ndugu shule ni ghati memorial zipo Arusha,musoma, babati ,singida,shinyanga,tarime,na dodoma ila tatizo kuu ni nssf arusha
 
WANAOPINGA FAO LAKUJITOA
Mungu awape magonjwa yasiyotibika, mfe vifo vibaya, mkachomwe moto kwa kutuibia pesa zetu.
figo zenu zifeli
mfe kwa kisukari
 
Back
Top Bottom