KERO NSSF Huduma Kwa wateja hazipokelewi kabisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mtu anasota mtaani zaidi ya miezi 6, hana ajira, NSSF ukidai mafao hayatoki subiri utapata ajira sio haki kwa maisha halisi ya mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…