NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

Sasa iyo ni kwa wafanyakazi mimi niliejiajiri itakuaje chief 😆mmbo magumu
 
Sasa iyo ni kwa wafanyakazi mimi niliejiajiri itakuaje chief 😆mmbo magumu
Wewe hyo yako haina longolongo we anza kujiwekea kaka. Hyo unalipwa wakati wowote. Ila kama mimi ningekua wewe ni bora ninunue shares kwenye makampuni mfano NMB ambapo utapata dividend na pia unaweza kuziuza kwa bei nzuri baadae kuliko nssf.
 
Duh
 
Sikushaur kuweka hela zako nssf ni bora uweke kwenye mifuko ya bond...nssf utaweka hela ila kuja kuzitoa utaona duniaa chungu yan pesa yako mwenyewe kutoa inakuwa na vipengele
 
Sikushaur kuweka hela zako nssf ni bora uweke kwenye mifuko ya bond...nssf utaweka hela ila kuja kuzitoa utaona duniaa chungu yan pesa yako mwenyewe kutoa inakuwa na vipengele
nikuulize swali.
unajua taratibu za kujiunga na nssf?
unajua madhumuni ya kuwepo kwa nssf?
 
Umeo Umeongea ukweli HALISI.Kuna tatizo kubwa la kiutendaji NSSF.Nina uzoefu na aina ya huduma wanazotoa its totally unacceptable.
 
Nyie watoto punguzeni hizi tuhuma za kipuuzi..

Unafahamu wangapi wananufaika na NSSF?

STUPID
Haya ndiyo maneno yenu ofisini.
Kuna wakati pale Mwanza nilifukuzwa ofisini saa 8 mchana eti nimechelewa kufika.Wakati huo nilikuwa natoka kijijini.
Nilipoanza kujitetea,akaitwa askari eti nafanya fujo!
Natamani uchunguzi ufanyike kwani wengi mnafanya kazi kama vile shirika ni la wajomba zenu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sikushaur kuweka hela zako nssf ni bora uweke kwenye mifuko ya bond...nssf utaweka hela ila kuja kuzitoa utaona duniaa chungu yan pesa yako mwenyewe kutoa inakuwa na vipengele
Cjakuelewa bado chief apa anaeweka mwenyew na mwajiriwa tofauti yke nn na kwann ikawe na VIPENGELE ivo
 
Nyie watoto punguzeni hizi tuhuma za kipuuzi..

Unafahamu wangapi wananufaika na NSSF?

STUPID

Maybe how ame present hiyo changamoto but amesema ukweli, kama mmoja ya watu ambao nimekutana na changamoto similar na za huyu bwana
 
Vimada hivyo, vimetoa tiGo ndio vikapewa kazi.
 
Hiyo kweli mkuu,,, wale watu ni wanazarau sijawah kuona,,,wamebak kunenepeana tu watu wanazungushwa mpk unashangaa hawa bila Sisi kukatwa hela mishahara watatoa wapi,,,wanamajib ya ovyo hawaangalii mkubwa mzee au mgonjwa utazungushwa had ukome na Kuna mzee toka 2017 hadi leo hajalipwa mafao yake mpaka amekata tamaa,kila akiend nikuzungushwa tu,mara hamna internet
 
Pale Ubungo,Posta ndio pameoza kabisa
 
Sasa mbn unanitisha nilitaka nikajiunge nao maana wamepita mtaani kutoa elimu kwa wajasiria Mali ila sikupata elimu yakutosha sasa nimepata nakutana na hili swala lako Sasa apa unanishaurije[emoji1787][emoji1787]

Kwa mateso wanayopata wazee wanaofatilia hela zao,,,Natamani nijitoe huko
 
Kuna jamaa alitupa chungwa alilokula lugalo pale kama unaenda mwenge asbh kilichotukuta Mungu anajua😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…