NSSF kujenga ndio wenywe lakini utunzaji majengo sifuri

Mbunge

Senior Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
104
Reaction score
10
Inaelekea shirika linaongozwa saa hivi kisiasa zaidi bila shirika kufanya vyema mambo yake ambalo kwanza ndilo linakopata kula yake.

PENGINE viongozi wa NSSF hawana habari na kinachoendelea katika majengo wanayomiliki sehemu mbalimbali hapa nchini.

Hali ni mbaya. Vyoo vibovu na harufu mbaya, maji kutopatikana, lift zinazoharibika kila siku, milango na madirisha yaliyovunjika, sehemu finyu za kuegesha magari na walinzi bomu na wasiokuwa na heshima yote haya ni mambo ya kawaida.

Itakuwa ni faida ya shirika kuhakikisha matatizo haya yanayolipa sifa mbaya shirika yanashughulikiwa haraka iwezekanavyo.
 
Kama wanaume wa kitanzania kuzaa aaahh kulea kwa raha zenu:::
 
Wapangaji hawana majukumu ya kutunza wanamoishi?
Rental agreements zinasemaje (kama zipo, that is)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…