NSSF kutatua tatizo la umeme Tanzania

sawa lakini mi naona nssf wanafanya diversification of their on going project ambayo mi naona bado inapotentiallity sana kwani haifanyi sawasawa ktk ujenzi wa nyumba bado demand ipo kubwa na watumishi au wateja bado wanahitaji ndani ya existing clients(members) hawajagusa bado private sector ambao bado ni wahitaji wakubwa nimeona kisota project walivyo fanya na nyumba zikaisha mara moja bado mradiwao wa kigamboni kijichi upo half way kwanini wasifanye real estate ambayo ni almost risk free zone.
Hii ni sawa shirika la nyumba kuanzisha biashara ya microfinance wakidai kuwa inalipoa sana sasa is it within your strategic plans?

Mi naona pale investment section hapaja kaa vema inabidi wamshauri vema ceo wao kwani bado hawaja exploit all opportunity ktk hii area it is still niche sasa labda wanakurupuka tu tulijua serikali ndio haina busara ktk maamuzi kuwa inaongozwa na politicians kumbe nssf pia !

sasa mi naweza kuwasaidia plan ndogo tu wajenge low cost houses kwa kuuza in three or five yrs plan watu wapo wengi tunahitaji nyumba lakini kujenga ni issue wanahitaji wao kuingia mikataba na contractor wakubwa from china na pia mabank hata serikali wafanyakazi wake wote wapeleke ramani na aina ya nyumba wanazohitaji kujengewa basi huyu mtumishi yeye atakuwa hana tena mawazo ya kutafuta kiwanja wala fundi ujenzi anabakia kufanya kazi kwa uadilifu tu kwa kuwa nyumba ndio factor kubwa ya ufisadi kwa watumishi wake kama ukimuondolea pressure hii mtumishi wa serikali basi kwisha habari hii iende hadi vijijini .harafu wenyewe wawekee wale wakazi ya vijijini umeme jua basi hii nadhani wanaweza kuwa buzzy na mradi huu hadi vitukuu vya dau viukute bado mradi ndo mbichi igeni au chukueni mawazo haya


 
Of course Rostam will invest and he will invite other big time investors, connections za Rostam wewe kwako hata kwenye ndoto hazimo.

So you are Rostam...at last..connections?...what does TIC do then if we have you?..the lover of our country...mimi ziwezi kuwaza kuibia maskini kama wewe
 


>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Well argued for...... like when you started investing in COMMERCIAL REAL ESTATES. You used similar arguments. Tell us what is the NSSF's return on real estates as at now? what happened with Quality Praza and EPZA projects.
 
:Cry: its just another type of theft its from our efforts the working class!!!!!
 

sasa ndugu yangu unataka hiyo pesa ikae tu.
Pesa ni lazima izalishe pesa.
Bila kuinvest hizo pesa wataweza vipi kucover gharama zao za uendeshaji?
 
Kama umepewa "notisi" basi fanya uondoke haraka sana, hakuna kurinyuu, kuna mama mkali huyo, kinachofuatia ni tinga-tinga. Shauri yako.
that's your problem, huelewi nini maana ya taratibu na sheria... that notice was given many years back and its expiry date was oct 31st 2010, which means the older notice is null and void

eniwei kalagabaho kasema sifa kubwa ya mwafrika ni kuona mwafrika mwenziwe anashindwa... lakini amesahau kusema kwamba sifa kubwa ya mtanzania ni maneno mingi na matendo machache... its all about perception, that goes even without reflecting how many fronts nssf has which are not in their mission and vision
 
agreed mkuu... afadhali umeiweka ki-positive zaidi kuliko mie... pia ni vizuri kuwa na ma-angalizo, swali moja tu; hivi unajua rekodi ya investment ya nssf kwa sasa na kwamba source yake kubwa ya income ni members au return on investment?
 
that question is too tough for a person who only looks at the bottom line without looking at return on investments vs. other sources of income... ndio maana nilisema tunafanya mambo kishabiki badala ya kitaalam
 
Of course Rostam will invest and he will invite other big time investors, connections za Rostam wewe kwako hata kwenye ndoto hazimo.
name me one, only one rostam business investment that has benefitted the government, let alone wananchi... i mean government na sio ccm
 
Go ahead NSSF ila tusingependa kuona longolongo huko mbele.
 
tazama SOCIAL SECURITY ACT imeelezea kila kitu mle


Tell us how much does NSSF generate from Real Estates? How well NSSF investments are diversified? how prudent is the Fund? What % of the loan (real estates related) portfolio concentrated on one client i.e. government?


GIVEN POLITICAL LINKAGE OF PUBLIC CORPORATIONS NSSF WITH NO EXCEPTION GOVERNMENT AGENCIES AND GOVERNMENT WILL NO TIME START TO SERVICING SUCH FACILITIES POORLY. HEAVY RELIANCE ON ONE CLIENT (RISK CONCENTRATION CONCEPT) PREDICTS PENSION FUNDS (nssf) WILL FACE SIMILAR CHANLLENGES OF OTHER STRUGGLING CORPORATIONS IN TERMS OF CASH FLOWS AND HENCE PERFORMANCE.

A GOOD THING TO APPRECIATE CURRENT MANAGERS IS THAT THEY WONT BE THERE WHEN NSSF WILL START FACING CONSEQUENCES OF THEIR TODAY'S DECISIONS.

LET US WAIT AND SEE!
 
agreed mkuu... afadhali umeiweka ki-positive zaidi kuliko mie... pia ni vizuri kuwa na ma-angalizo, swali moja tu; hivi unajua rekodi ya investment ya nssf kwa sasa na kwamba source yake kubwa ya income ni members au return on investment?


....na kuongezea au ni PROFIT kutokana na deposit zilizoko kwenye mabenki.....Nasikia nyumba za Tabata wanataka kuuza.
 
that question is too tough for a person who only looks at the bottom line without looking at return on investments vs. other sources of income... ndio maana nilisema tunafanya mambo kishabiki badala ya kitaalam


Sijakupata mkuu
 

Mkuu ubarikiwe!Sitashangaa hii ikiwa ni plan C
 
Sijakupata mkuu
swali lile gumu ulilomuuliza, yeye anaangalia hesabu kwa chini katika current way, haangalii strategic investment wala liabilities ahead... ni wale wa cash in hand
 
swali lile gumu ulilomuuliza, yeye anaangalia hesabu kwa chini katika current way, haangalii strategic investment wala liabilities ahead... ni wale wa cash in hand


Tupo pamoja! Although a significant share of NSSF total investments is on real estates (more than 30%)the returns on real estates is less than 4% while returns on investments is less than 11.1% and return on assets is less than 10% if you do your own computations based on 2008 financials.

I Guess the fund is more liquid now and needs some ventures to off-load. why not fight for capital account liberalization?

Can they dare to present actuarial report...... who has a piece of it? please bring it here for our own good.

God bless Tanzania!
 
Ni muhimu tatizo la umeme kumalizwa Tanzania kwani ni kitu cha kuchekesha kuzungumzia maendeleo au uchumi kukua ktk nchi ambayo mpaka leo umeme ni tatizo kama vile unatolewa bure. Kama NSSF wamefanya hesabu zao wameona unalipa Ruksa.

Huwezi kutoa hoja kua wanaweza kupata hasara kwani kitu chochote kinachoitwa biashara kina hasara na faida hata hizo nyumba unaweza kupata hasara. Linaloshangaza sana ni kua raia wanazo pesa na yuko tayari kununua umee kwa bei yoyote lakin ume

me hakuna kwanini? Ni lazima tukumbuke kua umeme hautolewi bure. Sio NSSF yoyote anaetaka biashara ya umeme aruhusiwe ili kue na mashindano ya kibiashara na hapo ndio utajua kue umeme una faida.

Hao ndio viongozi tunaohitaji viongozi wenye focus na wnaofikiria mbali
 


do you remember what happened in 1997/8 when nssf the then npf?! Try to go global to find out impact of pension fund failure? Hata hawa tanesco wamefikishwa hapa na taasisi za serikali na serikali kushindwa kulipa bills zake then wakashindwa kuwa liquid..... Matatizo yakalundika hadi hapa walipo...... What am i saying here... Doing business so heavily with government is not good for security and prosperity of any corporation nssf with no exception. Once they fail to honour their obligations pensioners will suffer and probably same rescue measures that happen with tanesco will apply.. For instance, lengthening retirement age, increasing contribution rate, etc ----- in short, reflect EAC pensioners' crisis.

Wote tunaipenda tanzania lakini siyo kwa kuweka rehani pension zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…