Kaziutumishi
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 325
- 384
Formal sector IMEAJIRI jumla ya watu km 2.5m, sector binafsi 1.8m (72%) na serikali 0.7m (28%) ya AJIRA zote rasmi Tanzania. Sector binafsi inahudumiwa na NSSF ambayo kwa sasa ama imeshafilisika au inaelekea kufilisika soon and very soon.
Nadhani wote tunakubaliana kuwa kwa sasa AJIRA Tanzania inaporomoka kwa kiwango cha kutisha ukilinganisha na tulikotoka. Naamini pia kuwa hali ya kuporomoka kwa ajira inatisha zaidi kwenye sector binafsi. Kuna uwezekano sheria ya FAO la kujitoa ilibadilishwa ili kukabiliana na yatakayo kuja kutokea baada ya uchumi na sector binafsi kufa.
Lengo uzi huu ni kujaribu kutafuta kujua ajira ktk sector binafsi imeporomoka kwa kiwango gani toka 2016-present? Kwa hiyo kwa wale wanachama wa NSSF ambao wamekosa kazi na ama wameanza mchakato wa kuchukua fedha zao NSSF lakini bado hawajapata au wale ambao wanategemea kuanza mchakato anytime from now, chagueni status moja ktk options hizi 2;
1. Nimeshaanza mchakato , nadai 20m, 10m, 1m......
2. Natarajia kuanza mchakato, nadai 20m, 10m, 1m.....