Huwa najiuliza
kama kweli NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi
Kwa nini wafanyakazi wasipewe uhuru wa kuchagua wapi wajiunge ili kuweka ushindani?
Nafikiri kukiwa na ushindani walau kidogo mafao kwa wastaafu yataboreka tofauti na ilivyo sasa ambapo mashirika hayana haja ya kuleta ubunifu kwani iwejua iwe mvua soko ni lao (hawana mshi