mpogorohalisi
Member
- Jun 11, 2025
- 12
- 24
Pole mkuu, mpaka mengine hayaeleweki,punguza hasira!Nssf wamekua wababaishaji sana hasa kwa watu wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini.
Mimi ni muhanga wa jambo hili, nimeandika barua tangu tarehe 4/5/2026 branch ya Morogoro.
Ajabu ni kua wanasema barua Yako na kiapo havionekani kwa hiyo nitafute vingine.
Kabla nimekuwa nilipiga simu kupitia call center na wananiambia shauri linafanyiwa kazi ila nimependa Morogoro naambiwa barua haionekani.
Inabidi niandae Tena kila kitu tangu kiapo na barua. Gikiria Sina ajira nnapata wapi pesa ya kiapo 30k? Nauli za kuja na kurudi?
Wamekata pale wao wanaajira hivi hamzingatii kua Hawa watu ajira hawana.
Mamlaka husika iingilie kati, unemployment benefitors wengi wanailalamikia Morogoro kwa majibu ya hofo
Barua unazi attach kwenye system mkuu.Pole sana, kuandika barua ya nini wakati mambo yao siku hizi ni kwenye system mwanzo mwisho...
Cc: Mahondaw
Kila kitu kwenye system yao, portal yao, huonani na mtu yoyote, ni system pekee...Barua unazi attach kwenye system mkuu.
Watu unaonana nao pale ambapo utafanya follow up, kama alivyofanya mtoa mada, alifuatilia kuuliza vipi kuna shida, mbona siku zinaenda sipati mzigo wangu? Ndo wakamwambia kuwa barua yake na kiapo havionekani (kwenye mfumo wao), hivyo a submit upya vitu hivyo...Kila kitu kwenye system yao, portal yao, huonani na mtu yoyote, ni system pekee...
Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali Cha kulipwa Kwa mkupuoKila kitu kwenye system yao, portal yao, huonani na mtu yoyote, ni system pekee...
Unaenda ila ndo utazungushwa Hadi ukomeNaombeni niulize.
Niliapply unemployment benefit kabla tangazo la lump sum halijatoka, na nimemaliza kulipwa kwa miezi sita.
Je, naweza ku apply lump sum?
Malipo ya mkupuo baada ya miezi 18 lazima uandike barua ya kuomba kibali Cha kulipwa Kwa mkupuoKila kitu kwenye system yao, portal yao, huonani na mtu yoyote, ni system pekee...
Kuna mtu aliniambia ukilipwa unemployment benefit huwezi kuchukua special lump sum hadi miezi 18 ipite kama hujapata ajira.Unaenda ila ndo utazungushwa Hadi ukome