Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Ushauri wangu kwa NSSF
Kutokana na maendeleo ya technologia, wastaafu wanaweza kurahisishiwa kabisa taratibu za kupokea mafao yao badala ya kuwacheleweshea kwa kisingizio cha taratibu zilizopitwa na wakati...
Sasa hivi kuna Internet, kitambulisho cha taifa (NIDA), Passport, DIGITAL data base nk nk
Kwa nini wasifike kwenye mashirika wakachukua copy ya kila wanachohitaji kwa mwanachana pamoja na copy ya kitambulisho chake cha taifa ili akistaafu aje tu na barua ya mwajiri na NIDA?
Wanaweza pia kuwasiliana kwa Email na Afisa waajiri (HR)wakatuma hizo taarifa kwa email wao wakapita tu kuhakiki..... mambo marahisi kabisa kwa watu wa kizazi hiki cha Gen Z, sijui wanakwama wapi?
Mfano wachue taarifa za wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea na kuziweka kwa Data base na kurudia hilo zoezi kila miaka 5.
Uzuri mashirika yote makubwa yapo mijini hivyo kusipo kuwa na upigaji ni gharama kidogo tu kukusanya hizo taarifa
Nafikiri pia, wapunguze watu maofisini kwa kuweka mfumo wa kidigitali utakaopokea michango na kuchakata taarifa na kuwezesha watu kupata taarifa zao zote mtandaoni, ili wafanyakazi watoke kukusanya data na kuelimisha wanachama huko huko makazini