K Kimasu New Member Joined Jul 31, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Aug 1, 2024 #1 Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini itolewe, ilkua inaleta transparency kwa wanachama.
Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 246 Aug 9, 2024 #2 Nimetoka play store sasa hivi hapa. Mbona ipo mkuu
K Kimasu New Member Joined Jul 31, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Aug 10, 2024 Thread starter #3 Tanki said: Nimetoka play store sasa hivi hapa. Mbona ipo mkuu Click to expand... App Store haipo tena , basi wa android imeachwa
Tanki said: Nimetoka play store sasa hivi hapa. Mbona ipo mkuu Click to expand... App Store haipo tena , basi wa android imeachwa