Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma heading hiyo hapo Mwananchi lakini cha kushangaza ni kuwa habari yenyewe haina uhusiano kabisa na kichwa hicho. Sikuweza kujua ni hasara ipi iliyotokea, kama ni wizi, overestimate au ni underestimate.