NSSF yatangaza hasara ujenzi daraja la Kigamboni

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoratibiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati wa ziara ya kukagua miradi ya shirika hilo iliyofanyika jana.

MCL
 
Nimesoma heading hiyo hapo Mwananchi lakini cha kushangaza ni kuwa habari yenyewe haina uhusiano kabisa na kichwa hicho. Sikuweza kujua ni hasara ipi iliyotokea, kama ni wizi, overestimate au ni underestimate.
 
Ugomvi na uchonganishi tu mkuu. Hakunaga kingine.
 
Mbona headline na habari haviendani kabisa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…