NSSF

Joined
Aug 23, 2014
Posts
12
Reaction score
5
Je naweza kuhama NSSF na kujiunga na PSPF? cha msingi ninachotaka hela zangu zote zilizoko nssf zirudi kwenye akaunti ya pspf naomba msaada wenu kama kuna uwezekano mnielekeze jinsi ya kufanya
 
Kuna ugumu sanaa ktk hili, hakuna sheria specific, ila tu unaweza kuhama mfuko mmoja kwenda mwingine kwa kubadilisha kazi uliyokua unaifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…