Nssf

Pole wakutomboka, bado unaziwaza hizo ajira za nssf? Kwanza unatakiwa ujisahili kuanzia dini yako mpaka ubini wako, kama watarajia credentials zako zikubebe hakika ndo utaijua kushnei.
 
Pole wakutomboka, bado unaziwaza hizo ajira za nssf? Kwanza unatakiwa ujisahili kuanzia dini yako mpaka ubini wako, kama watarajia credentials zako zikubebe hakika ndo utaijua kushnei.

Acha uzushi wewe ,bado oral interview hawajaita wakiita utasikia tuu mdogo wangu usikilize upuuzi wa huyu jamaa hajui alitendalo
 
kaka zaidi ya nusu wameanza kazi. labda upo sehemu ndogo iliyobaki
 
Pole wakutomboka, bado unaziwaza hizo ajira za nssf? Kwanza unatakiwa ujisahili kuanzia dini yako mpaka ubini wako, kama watarajia credentials zako zikubebe hakika ndo utaijua kushnei.

Ajira za sasa bwana tunadanganyana tu.

pole kaka hauko peke yako hata mimi nimo kati ya wale waliofanya hiyo interview yao pia nimo kati ya wale wanaoishia kutma barua nyingi ila kuitwa kwenye interview ni nadra kama maskini kula pilau ya kuku wa kienyeji
 
Ha ha ha ha ha,usiwaze sana wewe endelea na shughuli zako za kutomboka wakiita tu utajuzwa humu humu jamvini wala usihofu wakutomboka tuliza mawazo bado hawajaita!
 
Haraf kuna tetes zilisikika NSSf wana uhaba wa wafanyakazi, wanaitaji zaidi ya watu 2000 ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…