Habari,ni muda gani natakiwa kusubiri ili kupata fedha zangu za nssf pindi ninapokua nimepunguzwa kazi na mwajiri wangu?kwani nimepunguzwa kazi sababu mwajiri wangu ameishiwa kazi naitaji pesa yangu ya nssf ili nifanye biashara maana sina kazi na nina family inaniangalia mimi