Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Wanajamii naomba nisaidiwe na nichukue fursa hii kwa kuwafahamisha wanajamii wenzangu kuhusiana na makato ya kila mwezi kwa hawa jamaa wanaojiita NSSF, kwa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipelekewa makato na mwajiri wangu ambapo kila mwezi ni 240000/=TZS hapo nakuwa nimechangia mimi na mwajiri sasa cha kushangaza zaidi mie sijui hawa jamaa wa NSSF hesabu zao zinagonga vipi maana nimekwenda pale kuomba copy ya ripoti ya makato yangu nakuta kuna figure zinatofautiana na sijawahi kubadilishiwa mshahara kwa mwaka 2008 makato yamekwenda sawa kasoro mwezi AUGUST,OCTOBER,NOVEMBER,DECEMBER inaonyesha total contribution yangu ni 15,760/=TZS.(yangu pamoja na ya mwajiri wangu)
sasa kama hii ni kwa mwaka 2008 je hiyo mingine inakuwaje ? napata wasiwasi sana na hawa jamaa..
nimeomba full report toka nimeajiriwa ndo bado naisubiri..
sasa kama hii ni kwa mwaka 2008 je hiyo mingine inakuwaje ? napata wasiwasi sana na hawa jamaa..
nimeomba full report toka nimeajiriwa ndo bado naisubiri..