nta level 4+form 6

nta level 4+form 6

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
kwa matokeo haya ya div 3 point 17 comb PCM principal pass moja tu na nyingine ni subsidiary pamoja na gpa 2.9 ya nta level 4. Je anaweza kuchaguliwa kujiunga degree? Majibu yenu ndio msaada kwetu
 
Minimum GPA kwa NTA level 6 ni 2.7 kwa kozi nyingi. Hii ni kwa mujibu wa TCU guide book 2014/2015.
 
mwenye gpa ya 2.4 uckate tamaa..cyo mwisho wa maisha..elimu haina mwisho komaa tu...usikubali mtu akukatishe tamaa....PAMBANA
 
Back
Top Bottom