Edwardo Ommy
Member
- Feb 6, 2020
- 36
- 52
Unaonaje tutafute camera yetu tu na pc tuanze kuigiza filamu wenyewe si unajua kuigiza [emoji16][emoji16] ni mwendo wakutoa vyupa vyetu tuNi siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu.
Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo.
Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo.
Edwardo Omari
0714664520.
Kamera bora ni shs ngapi?Unaonaje tutafute camera yetu tu na pc tuanze kuigiza filamu wenyewe si unajua kuigiza [emoji16][emoji16] ni mwendo wakutoa vyupa vyetu tu
Kuanzia Canon d5 mark 3Kamera bora ni shs ngapi?
We jamaa nimekuona MUHAS kama vile. Kama ni wewe basi unanifahamuKuanzia Canon d5 mark 3
Hii inaingia m1 na kitu hiv