Zero_brain
Member
- Feb 18, 2012
- 30
- 2
Ninayo mimi mkuu, imetumika mara moja kukwamua gari aina ya bedford kutoka kwenye tope, unaweza kutumia kuvuta au kunyanyua hadi tani 10! Uzito wake nikiu-convert into gr ni 175* 1000=gr175000
kumbe vilaza wapo kila kona.
Nina Phd ya Human Psychology! Tatizo lako ni kuandika thread zako ki-fb, chain si ni Myororo?
haya basi Necklace umeshinda wewe