Ntajuaje maharage yameiva kwenye PRESSURE COOKER?

Ntajuaje maharage yameiva kwenye PRESSURE COOKER?

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
190
jaman habar zenu hili swala limekuwa likinitatiza sana huwa naotea tuu mara nkute bado hayajaiva mara nikute yamesagika tayari kwahyo nmeshindwa kujua kabisa muda mwafaka wa kuiva

naombemi mnipe mbinu bora hasa kwa wale wanaotumia hii sufuria
 
jaman huu uzi ndo mmeniachia inamaana hakna wanaotumia pressure cooker humu
 
Ukibandika unakaridia baada ya mda ikitoa pressure kama mara 4 unaipua pembeni unaimwagia maji ya baridi ili iwe rahis kufunguka unafungua unacheck kama yameiva au bado kama bado unafunga unarudisha jikoni kama maji yamepungua pia unaongeza.labda mwenye njia nyingine aje kutusaidia
 
Pressure cooker yenyewe inameny yake pemben,imejieleza çha ziada n ukadiliaj wa maji( PR inapika vitu ving .mfn wali,nyama zote,samaki,sup, maharage,kasolo ugar tu)
 
Kwa kawaida hutegemea na jinsi unavyoandaa hayo maharage yako.
Mfano mm kabla ya kuyachemsha huyaloweka kwa Maji ya moto ndani ya pressure cooker.
Baada ya kama DKK 10 huchek kama yamerainika.
Then nawasha moto na kutabandika na baada ya dkk 30 nayatoa nikisubiri pressure cooker ipoe niyachek
 
Maharage mapya dakika 20 baada ya kulia filimbi. Kama ya zamani dakika 30 baada ya filimbi.
 
Dakika 30 ni muda wa juu kabisa wa maharage kuiva kwa pressure cooker! Baada ya dakika 30, piga UA galagaza lazima harage liive! Zaidi ya hapo utaambulia uji wa maharage!
 
Ukibandika unakaridia baada ya mda ikitoa pressure kama mara 4 unaipua pembeni unaimwagia maji ya baridi ili iwe rahis kufunguka unafungua unacheck kama yameiva au bado kama bado unafunga unarudisha jikoni kama maji yamepungua pia unaongeza.labda mwenye njia nyingine aje kutusaidia
utauwa watu
 
Daah bandiko la muda kidogo.

Naimani hata Maharage yenyewe yakuwa yamekwisha kuiva.
 
Back
Top Bottom