utauwa watuUkibandika unakaridia baada ya mda ikitoa pressure kama mara 4 unaipua pembeni unaimwagia maji ya baridi ili iwe rahis kufunguka unafungua unacheck kama yameiva au bado kama bado unafunga unarudisha jikoni kama maji yamepungua pia unaongeza.labda mwenye njia nyingine aje kutusaidia