Ntaka kufungua duka la Wines and Spirits.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Naombeni mnitajie list ya Wines and Spirits mnazozifahamu.
Shukrani sana..
 
Dompo, konyagi, Jack daniels, John walker
 
Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Naombeni mnitajie list ya Wines and Spirits mnazozifahamu.
Shukrani sana..
Kama uko Dar tembelea Mohans au MMI au huko ulipo ongea na wauzaji watakwambia au ongea na wenye Bar kubwa.
 
Kama uko Dar tembelea Mohans au MMI au huko ulipo ongea na wauzaji watakwambia au ongea na wenye Bar kubwa.
Thanks mkuu. Ila naongea nao nini hasa? Au wanauza kwa jumla?
 
Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Naombeni mnitajie list ya Wines and Spirits mnazozifahamu.
Shukrani sana..

Tutajie unazozifahamu kwanza wewe halafu tutakwambia zilizobaki.
 
biashara ilinishinda hii sa hv zipo home nagonga mwenyewe taratibu
 
Ilikushinda kwanini?
, ilikuwa ya joint sasa baadae tukaamua kugawana tu maana kila mtu alikuwa anataka kuendelea na mambo yake wengine kwenda kusoma ,nk , unaweza kujaribu ni biashara nzuri tu mkuu ukipata sehemu inayoeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…