Na huo ulevi wako duh..!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Naomba ajira kwenye hilo duka ee
, ilikuwa ya joint sasa baadae tukaamua kugawana tu maana kila mtu alikuwa anataka kuendelea na mambo yake wengine kwenda kusoma ,nk , unaweza kujaribu ni biashara nzuri tu mkuu ukipata sehemu inayoeleweka