LGE2024 Ntakuwa wa Mwisho kuamini wagombea wa CHADEMA Serikali za mitaa wanaweza kujaza form za uteuzi kwa ufasaha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.

Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
 
Nilishangaa kuona ni makosa hayo hayo ya 2019 yamejirudia tena mwaka huu. Hivi hawakuwapa semina wagombea wao, au ndio kweli hawakujiandaa. Lissu yuko sahihi, Kigaila kapanik tu kusikia ukweli.
Any way, uchaguzi wa ndani umewapotezea wakati sana, kwani huo ulikuwa muhimu kuliko huu wa S/ MITAA.
Wavune walichopanda
 
Hili nalo neno, CCM imefeli kutoa elimu bora nchini kwa wananchi, mwenyekiti wa CCM ana digirii ya Gerezani Kariakoo!
 
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.

Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Punguza utoto ww 🌈
 
Kabla ya 2019 walikuwa wanajua kujaza form gafla tu ikatokea wote hawajui kuanzia 2019 na 2024?. Hapa shida sio upinzani ni mamlaka za usimamizi wa uchaguzi kwa kushirikiana na chama tawala.
 
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.

Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Wa CCM wamewezaje wakati mazingira yao ni sawa, elimu sawa, uelewa sawa.

HIli limewabumia CCM, wanataka kubakia madarakani kwa ujanja ujanja.

Info flow imewaumbua this time, kila kitu ni nje nje.
 
Ccm wanachagua viongozi wanaojua kusoma
 
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani.

Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Hivi kuna viongozi maamuma kama wa ccm kwa ngazi zoote. Hivi unaishi nchi ipi. Huku sigimbi kwetu mwenye kiti wa ccm kuandika barua ni changamoto wamatumia vijana
 
Nilishangaa kuona ni makosa hayo hayo ya 2019 yamejirudia tena mwaka huu. Hivi hawakuwapa semina wagombea wao, au ndio kweli hawakujiandaa. Lissu yuko sahihi, Kigaila kapanik tu kusikia ukweli.
Any way, uchaguzi wa ndani umewapotezea wakati sana, kwani huo ulikuwa muhimu kuliko huu wa S/ MITAA.
Wavune walichopanda
Umeandika kama nyimbo ya kigodoro
 
Back
Top Bottom