hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaumejaribu kucheki pande za posta mpya? Wapo wengi. .
mkuu niko sirias,nisaidien jamani!Naona unakaribu kutengeneza verse
mkuu niko sirias,nisaidien jamani!
Ntampata wapi kama yule,mwenye tabia kama zile,nimpende na yeye anipende,NTAMPATA WAPI MWENZENU NATESEKA!
ahahahaaaaaaaaaaaaaa!.......hapo sasaumejaribu kucheki pande za posta mpya? Wapo wengi. .
mimi ni kidume,natafuta wa kuishi naye,NTAMPATA MWENZENU?Wa kike au wa kiume sema tukusaidie.
Kufanya nini?Nenda hosp kwanza...
nahisi ritz ni mwanaume mwenzangu,lakini sitaki mwanamke ambaye kwao ni mafisadi kama kwa kina ritz.pia staki mwana Ccm!Mchukue ritz wa hapahapa jf!!!!!!!!!!
sikai dar mkuu niko mbali sana na hapo!leo toka nyumbani kwako mida ya saa 6 usiku anzia barabara ya shekilango huku mwanzo nenda nayo hadi mwisho......
nahisi ritz ni mwanaume mwenzangu,lakini sitaki mwanamke ambaye kwao ni mafisadi kama kwa kina ritz.pia staki mwana Ccm!