frozen Senior Member Joined Aug 12, 2010 Posts 135 Reaction score 32 Oct 5, 2011 #1 Wanajamvi habari, natafuta majiko ya gas yanaitwa triangle gas stove yaliuzwa sana saba saba.yanatumia gas flani ndogo inaiwa butane gas, inakwenye kachupa kdg kama chupa ya sumu ya mbu, mwenye taarifa wapi yanapatikana. Tufahamishane pls.asante
Wanajamvi habari, natafuta majiko ya gas yanaitwa triangle gas stove yaliuzwa sana saba saba.yanatumia gas flani ndogo inaiwa butane gas, inakwenye kachupa kdg kama chupa ya sumu ya mbu, mwenye taarifa wapi yanapatikana. Tufahamishane pls.asante
M mikogo Senior Member Joined Jul 24, 2011 Posts 175 Reaction score 42 Oct 6, 2011 #2 nenda sabasaba ukawulize wahusika wa uwanja wanaweza kuwa na taarifa ya bidhaa