Ntapata wapi oil za bajaj kwa bei ya jumla

Ntapata wapi oil za bajaj kwa bei ya jumla

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF

Mimi ni dereva bajaji, sasa nimeona kutegemea chanzo kimoja cha bajaj ni changamoto

Nimeamua kutafuta hili wazo la kuuza oli hasa M-GAS na TOTAL. Kwa bei ya jumla ili na mm nipate chochote huku naendelea na kazi yangu!

Naomba anaefahamu chimbo anisaidie

Nawapenda sana JF
 
Back
Top Bottom