Ntapokeaje file kutoka freelancer.com?

Ntapokeaje file kutoka freelancer.com?

Neyahoo

Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
81
Reaction score
92
Habarini ndugu zangu,

Samahani ivi nawezaje kureceive file kutoka freelancer.com? Nilijiunga freelance.com wiki mbili zilizopita; sasa nimepata client amenipa project ya kuandika article fulani.

Sasa asema amenitumia file ili nisome maelekezo lakini nkiangalia kwenye app hamna sehemu ya kutafuta file.

Naomba kama kuna wenye uzoefu wa hizi platforms za freelance anielekeze naezaje kuona file lililotumwa jamani.

Mimi nlifikiri litaenda moja kwa moja Microsoft Word kama mafaili ya kawaida kwa Android app.

Msaada wenu tafathali[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa global citizen atakusaidia
Habarini ndugu zangu,

Samahani ivi nawezaje kureceive file kutoka freelancer.com? Nilijiunga freelance.com wiki mbili zilizopita; sasa nimepata client amenipa project ya kuandika article fulani.

Sasa asema amenitumia file ili nisome maelekezo lakini nkiangalia kwenye app hamna sehem ya kutafuta file.

Naomba kama kuna wenye uzoefu wa hizi platforms za freelance anielekeze naezaje kuona file lililotumwa jaman,Mimi nlifikiri litaenda moja kwa moja Microsoft word Kama mafaili ya kawaida kwa Android app.msaada wenu tafathali[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom