Neyahoo
Member
- Sep 7, 2019
- 81
- 92
Habarini ndugu zangu,
Samahani ivi nawezaje kureceive file kutoka freelancer.com? Nilijiunga freelance.com wiki mbili zilizopita; sasa nimepata client amenipa project ya kuandika article fulani.
Sasa asema amenitumia file ili nisome maelekezo lakini nkiangalia kwenye app hamna sehemu ya kutafuta file.
Naomba kama kuna wenye uzoefu wa hizi platforms za freelance anielekeze naezaje kuona file lililotumwa jamani.
Mimi nlifikiri litaenda moja kwa moja Microsoft Word kama mafaili ya kawaida kwa Android app.
Msaada wenu tafathali[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app