Ntasoma chuo gani hapa?

IDEGENDA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
4,505
Reaction score
5,343
Wadau,
Nimesoma QT, na matokeo ya form four ndio hayo nmepata D2 na C 1 hivyo nina div 4 y points 40، je kwa matokeo hayo naweza kusoma chuo gani? Msaada tafadhali.
 
Duh!pole sana,labda kajaribu chuo cha nyuki katavi.
 
Wadau,
Nimesoma QT, na matokeo ya form four ndio hayo nmepata D2 na C 1 hivyo nina div 4 y points 40، je kwa matokeo hayo naweza kusoma chuo gani? Msaada tafadhali.

Apply kozi za certificate
 
Hata mimi nakushauri usome certificate kwa matokeo hayo unapata.
 
Hivi CBE wanachukua wenye kuanzia ufaulu gani wakuu, kwa anaejua.
 
Hongera sana mkuu, From QT hadi IV ya 40. Umejitahidi sana mkuu hongera. Kwa ufaulu wako apply chuo chochote chenye kozi ya certificate utapata.
 
Hivi CBE wanachukua wenye kuanzia ufaulu gani wakuu, kwa anaejua.

cbe, ifm, tia, magogoni, datastar, the Amazon, eagle wings, anza kwa level ya cheti ....!also cheki veta
 
Zingatia ushauri mzuri uliopewa.

Usikatishwe tamaa na baadhi ya watu waliopost pumba.
 
Vipi kuhusu VETA couse gani nzuri?
 
Nenda veta ya mahal ulipo watakuambia ni koz gan wanazo then utachagua mwenyewe ni ipi nzur kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…