Mpaka hapo umeshaharibu mwenyewe.Malipo kwa bei inayofahamika kwa sisi wasaidizi...asante
Walau kuanzia tano elfMpaka hapo umeshaharibu mwenyewe.
Kila la kheri...
Saidia fundi siku hizi tunalipwa elfu 10 mkuu..we uko dunia ya wapi asee?Walau kuanzia tano elf
Saidia fundi siku hizi tunalipwa elfu 10 mkuu..we uko dunia ya wapi asee?
Ila nakuombea upate kazi mpambanaji.
Me kwa mda nimeona now ni 15 kabisa.kwa dar saidia fundi ni 12k iyo elfu kumi ni kwa miaka ya 2014-17
Sawa mkuu..huku Meatu tunalipwa 10k tu mpaka leo asee.kwa dar saidia fundi ni 12k iyo elfu kumi ni kwa miaka ya 2014-17
Ntakuunganisha na mtu.
[/QUOT
Sawa mkuu