Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance hizo ahadi nzuri kwa wananchi

ZIFUATAZO NI NJIA NTAKAZOTUMIA NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTENGENEZA FEDHA KWA AJILI YA KUTIMIZA AHADI NYINGI NILIZOAHIDI

Katika mambo ambayo ntafanya ni kuhakikisha tunakuwa na Revenue ya usd billion 500+ ntantumia njia zifuatazo kukamilisha hili wazo
👇👇👇👇👇👇👇
Nchi yetu ina-uhaba wa umeme nikimaanisha umeme uliopo hauwezi kupower smelter na tunafahamu kama nchi tukiwa na smelter basi itakuwa ni rahis kuwa na viwanda vingi na vya aina tofauti

NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAJENGWA SMELTER ZIFUATAZO KWA HARAKA SANA KWA KUSHIRIKIANA NA PRIVATE INVESTORS SABABU TUNA-FAIDA YA KUWA NA GESI ASILIA KAMA ADDED ADVANTAGE KUBWA SANA HASA UKIZINGATIA TUNA UHABA WA UMEME

👉kutajengwa bomba kubwa la gesi lenye diameter ya inch 45 kutoka mtwara mpaka Arusha lengo ni kuhakikisha huu ukanda wa mashariki kunatapakaa smelter, refining na secondary industries
  1. Petrochemical plant itakuwa powered na gesi asilia
  2. Crude oil refinery itakuwa powered na gesi asilia
  3. Natural gas refinery itakuwa powered na gesi asilia
  4. Glass smelter (include fiberglass) itakuwa powered na gesi asilia
  5. Copper smelter itakuwa powered na gesi asilia
  6. Nobium powder itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
  7. PCB fabrication itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
  8. Aluminium smelter itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
  9. Silicon wafer and semiconductor itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
  10. Rear earth refining itakuwa powered na umeme unaozalishwa na gesi asilia
Hizo smelter na refining zote zitakuwa na acces ya bomba la gesi asili mpaka kiwandani

UNAFUU WA SISI KAMA NCHI KUWA NA SMELTER NI KAMA UFUATAO
Tuna deposit ya gesi asilia kubwa kuanzia kusini mwa pwani ya kisiwa cha mafia mpaka mtwara

Tunabomba linanosafirisha gesi asilia kutoka mnazi Bay kupitia songosongo mpaka dar es salaam- nikiwa Rais litajengwa bomba lingine kubwa sana la kusafirishia gesi asilia mpaka dar-es-salaam kwa kuanzia
Kuanzia mtwara mpaka dar es salaam kutakuwa na mtandao wa smelter ambao utainua mikoa ya kusini na uchumi wetu kwa ujumla
Bomba hilo kubwa la gesi litafanya wepesi wa kujengwa viwanda vikubwa ambavyo vinatumia gesi asilia kama viwanda vya magari na vingine vingi sababu raw materials zitakuwa zinapatikana hapa Tanzania

Hizo smelter ambazo zitakuwa na capacity kubwa + viwanda vya secondary ambavyo vitakuwa vinachukua raw materials kutoka kwenye hizo smelter na refining + watu walioajiriwa + Multiplier effects nahakika kama nchi tutakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 200 kama revenue
 
Mkuu hii sijaisoma ila zingine nimezisoma, inaonekana upo serious kutukomboa
 
Dogo hivi wewe ni Mmeru wa wapi?
 
Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance hizo ahadi nzuri kwa wananchi
 
Sasa kwanini hujachukua form, unasubiri mpaka ufe maono yako yapotelee hewani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…