Ntawezaje kupata Visa ya Misri

Ntawezaje kupata Visa ya Misri

Kakulwa

Senior Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
116
Reaction score
31
Wakuu,

Naweza kupata tourist visa ya Misri upon arrival au ni lazima ni apply hapa bongo kwenye ubalozi wao kabla ya safari?

Thanks
 
 
Mimi nchi hii wizara ya mambo ya nje ndio wananitibua sana, hawa wa Misri kwetu wanapata visa on arrival sisi hapana. Mimi nilitegemea wewe unanipa hichi kwa raia wangu mimi nakupa hiki ukiondoa baadhi ya nchi ambazo kuna sababu za kiuchumi nitaelewa lakini nchi za Africa sote tunafanana na heshima ifanane.
 
Asanteni wakuu
Inavyoonekana ni lazima kuomba visa ubalozini kabla ya safari
 
Back
Top Bottom