johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
---
Tumetoka kumuona BonIFACE gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara cha wembe, ndevu wameziacha.
Ananiuliza "Ngosha vipi?" Kwa sauti yake nene ya kukwauza! Namwambi "Mwanetu, upo hapa gerezani si kwa sababu wewe ni mwizi au jambazi" Bon anacheka akasema "Pambaneni wangu, hatima yangu- ipo mikononi kwenu na watanzania wote... waeleze wamsikate tamaa"
https://x.com/Ntobi_/status/1837081595385123058/photo/1