johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MahabusuKwani kasha hukumiwa ?
Kwani mahabusu ni lazima ,mtuhumiwa anyolewe nywele, au kwa sababu wanajua ataka muda mrefu , apo mahabusuMahabusu
Kunyoa upara ananyolewa na masela wake ndevu ni hiari jwa sasa.....lazima amepokelewa kama kamanda CDM wapambe kibao....hasa masela watamfanyia kila kitu sababu ana cash....maisha yataenda tuuuMwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
Umesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoromaKunyoa upara ananyolewa na masela wake ndevu ni hiari jwa sasa.....lazima amepokelewa kama kamanda CDM wapambe kibao....hasa masela watamfanyia kila kitu sababu ana cash....maisha yataenda tuuu
Hapanaaaa zamaniii hayo .....au kama tabia yako....pia kuna masela mavi wale ...ambao hata sabuni hana na hajui atatoka lini hata ndugu hawaji wala hawamjali ......atajiyza ili apate maisha mule .....sio kwa nguvu ila kutaka ww au shida zako.....Umesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoroma
Mahubusu si sawa na mfungwa (ambaye ameshapewa adhabu ya kifungo)Kwani mahabusu ni lazima ,mtuhumiwa anyolewe nywele, au kwa sababu wanajua ataka muda mrefu , apo mahabusu
Ni kudumisha usafi...na pia kiusalama nywele ndefu/nyingi huweza kuhifadhi vitu hatarishi au visivyoruhusiwa gerezani. Ndugu zetu Rastafarians huwa na vibali maalumu na huruhusiwa kubaki na rasta zao.Amenyolewa nywele?
Hii imekaa vipi?
Kuna sheria inawapa polisi uwezo wakunyoa nywele watuhumiwa?
Je, nywele nazo ni moja ya vielelezo kwenye hii kesi?
Naona hakuna anayehoji hili.
Wanamnyoa nywele kwasababu zip?
Kiuhalisia wamemuweka kizuizini maana mahabusu hawawezi kunyolewa kiparaKwani kasha hukumiwa ?
Weka basi na kapicha akiwa amenyolewa bila maji.Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana