Ntv Kenya - Wimbo wa 'aje haukustahili video bora ya mwaka

Ilipaswa achukue diamond japo hakuwa mshiriki.stupid uyo alioongea

Alipaswa alinganishe video zilizokuwepo kwenye ushindani sio ambazo hazikuwepo.
 
Tuzo gani unaenda kuchukua fomu kama unataka kushiriki Miss Temeke.
hata hyo ya kunominee inafata nini mbona wakali wengi tu wanaachwa ? mtu achukue fomu raia tuamue kuwe na nominees hata elfu raia tuamue
 
Si kweli mkuu mbona Navy kenzo kawabwaga Sauti Sol kwenye kundi bora na hawajasema hajastahili...zaidi wamepongeza tu kwamba Navy kenzo wako vizuri
 
Hakuna aliyependelewa kura zimeongea... mimi Binafsi nilimpigia kura king kiba nawashangaa wanaosema amependelewa
 
Mbona wanachelewa kuandaa tuzo zao na kuwapa wanaostahili?!
 
Video pekee ambayo ingechukua tuzo hiyo kwa mtazamo wa sanaa ni ACHA WAOANE ya CHEGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…