OsamaBinLaden
JF-Expert Member
- May 2, 2009
- 706
- 3
We unaujua upnde wangu na soma tena kichwa cha habari utapata jibu>>>>
bado kimya utadhani yaliofanywa hapo ni mazuri...?
Kisaa marekani.....hakosei...lol
Marekani ndio Waanzilishi wa Ma Terorrist duniani Osama Bin Laden ni mtoto wa amerika wao ndio waliomfundisha Osama Bin Lasen Waamerika ndio watu wabaya katika hii dunia.hivi binadamu wa dunia ya leo ni vipofu au wazimu au ni nini kinawasumbua maana sielewi osama anahatarisha maisha ya watu hawa hamuwaoni ??????
http://www.youtube.com/watch?v=16cewjeqNdw
http://www.youtube.com/watch?v=i4x7G_AOL8k
mpo kimpyaaaa ni jambo zuri???