Nugaz anafanyiwa fitna hadi kwenye tuzo

Nugaz anafanyiwa fitna hadi kwenye tuzo

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Juma kahtib a.k.a Nugaz alifanyiwa fitna na msukule hadi akapoteza kazi pale utopoloni lakini cha kushangaza majina ya wahamasishaji bora kwenye tuzo za TFF yametoka lakini Jina la Nugaz halipo kwenye list.

Unless ile data ya kwamba mwaka jana utopwenga ndiyo waliongoza kwa kuingiz mashabiki uwanjani ni ya uongo basi itakuwa sahihi kutomweka Nugaz ila kama ni kweli utopolo ndiyo waliingiza mashabiki wengi basi NUGAZ SIYO TU AWEKWE KWENYE CATEGORY ILA APEWE KABISA USHINDI maana kazi yake ilikuwa ni afisa uhamasihaji kabla ya kufanyiwa fitna na msukule hadi mkataba haukuongezwa

FITNA zimefika hadi huko jamani? si kazi ashakosa hadi tuzo ambayo ni halali yake?
 
Bongo bila fitina mambo hayaendi. TFF walichofanya ni kama hivi.
👇👇👇
IMG_20211014_152748.jpg
 
Juma Khatib ni mtu mtulivu na makini.
sisi mashabiki wa soka tunajua yeye ndiye aliyeongoza mwaka jana kwa kuhamasisha na kujaza uwanja hata bodi ya ligi imethibitisha hilo hata siku ya mwananchi ilijaza kuliko simba day mwaka jana APEWE HAKI YAKE HATA KAMA ALIFANYIWA ZENGWE NA MSUKULE HADI AKAPOTEZA KAZI YAKE
 
Back
Top Bottom