Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
- Thread starter
-
- #21
sio kwamba ndio mlivyo hahahahuyo dogo anatuaibisha wanyalukulo wenzake atachoraje tatooo ya kila demu anayekua naye..
teh teh,no countjana nimeona kwenye post humu hili neno knockout anavyolitaja khaaaaaaaaaaaaaa crazy woman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wachokozi jamaniAcha dharau wewe., kwa hiyo umeona wali maharage ndio hauna thamani sana sio?? Heshimuni vyakula pendwa vya wenzenu bana.
HahahahahaShilole kamwambia ye aendelee kujichora tu...Ila akithubutu kufuta tattoo yake..Atachezea vitasa hadi akome