Nuh Mziwanda asema hawezi kuingilia bifu la Shilole na video queen wa video ya ‘Jike Shupa’

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya label ya ‘LFLG’, ameiambia Clouds FM kuwa kwa sasa hawezi kuingilia ugomvi usiyomuhusu.
“Wale ni wanawake kwa hiyo zile ni tofauti zao, siwezi kuingilia na siwezi kuongea chochote, yule demu mimi nilimlipa pesa yake ya video akafanya, kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake,” alisema Nuh.
Read: Diamond Platnumz Decides to support Wema Sepetu On the "Night of Black Tie"
Aliongeza, “Kwa hiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki kujua kwa sababu nimeshamalizana nae. Yale ni maisha yake binafsi siwezi kuingilia,”
Shilole na video queen wa video ya ‘Jike Shupa’ wamekuwa wakitupia vijembe katika mitandao ya kijamii.

Source:Bongo Yetu Blog
 
We kama sio mwanume wa dar umejuaje kama yule Dada anatumia jike shupa[emoji12] [emoji12] [emoji12] by the way thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…