Nuh Mziwanda: Shilole ni mcheza shoo tu, sio mwanamuziki yule

Ila kiukweli huyo Nuh cjui nani kaongea ukweli mtu, hivi shilole kaimba wimbo gani? Zaidi ya kukaa uchi jukwaan na kunengua. Dogo kaongea point sijawah kuelewa kama shilole anaimba au ana ghani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…