Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilole anajua kubeba vitoto aisee
Ni kafupi,kana mwili mdogo duu macho yanatofautiana jamanii
Kadumaa
Kadumazwaaa....chezea kubemebendwa ukubwani...
Kadumazwaaa....chezea kubemebendwa ukubwani...
Young D,Barnaba na Sasa Mziwanda wote miili yao ni sheedaa labda kugundua madini kwenye hiyo miili labda wanasimamia kucha au ni rahisi kuwa control maana wanaona wameokota dodo kwenye mpera!
Ah...ndio kudumaa huko maisha ya kijijini....
Yaan hawaon wakubwa wenziee, sasa hivi kina Aslay wameanza kuviziwa na majimama jaman hata kama mtoto wa mwenzio ni mkubwa sio aisee,
Usiombe ukutane na hiyo mijimama alafu uiambie hivyo shoga angu utachambwa hadi ujute....
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...?
Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu?
Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda zikawa za China hizo. Eti The Boss, what say you?
Shilole anajua kubeba vitoto aisee
Ni kafupi,kana mwili mdogo duu macho yanatofautiana jamanii