Nuh Mziwanda

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...?

Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu?

Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda zikawa za China hizo. Eti The Boss, what say you?

Last edited by a moderator:
Mmmh.......ngoja nikamuone kwanza...........
 
Shilole anajua kubeba vitoto aisee
Ni kafupi,kana mwili mdogo duu macho yanatofautiana jamanii
 
Young D,Barnaba na Sasa Mziwanda wote miili yao ni sheedaa labda kugundua madini kwenye hiyo miili labda wanasimamia kucha au ni rahisi kuwa control maana wanaona wameokota dodo kwenye mpera!

Yaan hawaon wakubwa wenziee, sasa hivi kina Aslay wameanza kuviziwa na majimama jaman hata kama mtoto wa mwenzio ni mkubwa sio aisee,
 
Ah...ndio kudumaa huko maisha ya kijijini....
 
Yaan hawaon wakubwa wenziee, sasa hivi kina Aslay wameanza kuviziwa na majimama jaman hata kama mtoto wa mwenzio ni mkubwa sio aisee,

Usiombe ukutane na hiyo mijimama alafu uiambie hivyo shoga angu utachambwa hadi ujute....
 
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...?

Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu?

Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda zikawa za China hizo. Eti The Boss, what say you?

Hata mimi sijaelewa muundo wa mwili wake afadhali umeuliza
 
Last edited by a moderator:
naona shish baby chini katupia kitu cha dosho nini. Safi xana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…