Nuhu Mziwanda amshukuru Shilole kwa kumpandisha ndege kwa mara ya kwanza...

Nuhu Mziwanda amshukuru Shilole kwa kumpandisha ndege kwa mara ya kwanza...

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=2][/h]

udau.jpg

"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda

maoni yangu:

Huyu mwanaume anajitambua kweli?
 
...kumbe kupanda ndege ni dili sio
 
Ni vizuri kutoa credit kwa mtu anapokupush kutoka hatua moja kwenda nyingine...ila huyu dogo anazingua..nadhani inabidi akacheki afya ya akili yake..sina uhakika kama iko sawa
 
...kumbe kupanda ndege ni dili sio

Pathetic! Halafu ndege yenyewe ni ile kokolikooo! Siku akipanda BA au Cathay Pacific sijui itakuwaje
Hawa ndio wale safari nzima hawatulii kwenye viti ni kupiga picha tu na kukenulia meno wahudumu
Wakiletewa juice picha! maji picha! Tooth pick picha! Mpaka inakuwa kero....!!!ama kweli ushamba mzigo
 
[h=2][/h]

udau.jpg

"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda

maoni yangu:

Huyu mwanaume anajitambua kweli?

Daaa uyu Mario hana Dogo ngoja apigwe tena

Huyo ni mvulana siyo mwanaume...

Ndio shida ya kutahiriwa na ganzi tena kitandani
 
Huyu anaaibisha sana wazazi wake na ndugu zake. Kweli kuzaa si kupata
 
Back
Top Bottom