Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
...kumbe kupanda ndege ni dili sio
[h=2][/h]
"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda
maoni yangu:
Huyu mwanaume anajitambua kweli?
Daaa uyu Mario hana Dogo ngoja apigwe tena
Huyo ni mvulana siyo mwanaume...
Ndio shida ya kutahiriwa na ganzi tena kitandani
maskiniii, nimejikuta naingiwa na imani, hiki kitoto kina tabuu aiseee!!
Ndio shida ya kutahiriwa na ganzi tena kitandani
Huyu mtoto mpuuzi sana.ana wazazi kweli huyu?